

Sala bora zaidi baada ya sala za faradhi ni sala ya usiku
Abu Hurairah · Sahih Muslim 1163ImaniUislamu umejengwa juu ya nguzo tano: Kushuhudia kwamba hakuna Mungu ila Allah na Muhammad ni Mtume wake, kusimamisha sala, kutoa zaka, kuhiji Nyumba, na kufunga Ramadhani
Ibn Umar · Sahih Bukhari 8, Sahih Muslim 16IbadaSala tano, na Ijumaa hadi Ijumaa, na Ramadhani hadi Ramadhani, ni kafara ya dhambi zilizofanywa kati yake, ikiwa mtu ameepuka madhambi makubwa
Abu Hurairah · Sahih Muslim 233يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ لِيَسْتَـْٔذِنكُمُ ٱلَّذِينَ مَلَكَتْ أَيْمَٰنُكُمْ وَٱلَّذِينَ لَمْ يَبْلُغُوا۟ ٱلْحُلُمَ مِنكُمْ ثَلَٰثَ مَرَّٰتٍۢ ۚ مِّن قَبْلِ صَلَوٰةِ ٱلْفَجْرِ وَحِينَ تَضَعُونَ ثِيَابَكُم مِّنَ ٱلظَّهِيرَةِ وَمِنۢ بَعْدِ صَلَوٰةِ ٱلْعِشَآءِ ۚ ثَلَٰثُ عَوْرَٰتٍۢ لَّكُمْ ۚ لَيْسَ عَلَيْكُمْ وَلَا عَلَيْهِمْ جُنَاحٌۢ بَعْدَهُنَّ ۚ طَوَّٰفُونَ عَلَيْكُم بَعْضُكُمْ عَلَىٰ بَعْضٍۢ ۚ كَذَٰلِكَ يُبَيِّنُ ٱللَّهُ لَكُمُ ٱلْءَايَٰتِ ۗ وَٱللَّهُ عَلِيمٌ حَكِيمٌۭ
Enyi mlio amini! Nawakutakeni idhini iliyo wamiliki mikono yenu ya kulia na walio bado kubaalighi miongoni mwenu mara tatu - kabla ya Sala ya alfajiri, na wakati mnapo vua nguo zenu adhuhuri, na baada ya Sala ya isha. Hizi ni nyakati tatu za faragha kwenu. Si vibaya kwenu wala kwao baada ya nyakati hizi, kuzungukiana nyinyi kwa nyinyi. Hivyo ndivyo Mwenyezi Mungu anavyo kuelezeni Aya zake, na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi Mwenye hikima.
Sala bora zaidi baada ya sala za faradhi ni sala ya usiku
Abu Hurairah - Sahih Muslim 1163
Uislamu umejengwa juu ya nguzo tano: Kushuhudia kwamba hakuna Mungu ila Allah na Muhammad ni Mtume wake, kusimamisha sala, kutoa zaka, kuhiji Nyumba, na kufunga Ramadhani
Ibn Umar - Sahih Bukhari 8, Sahih Muslim 16
Sala tano, na Ijumaa hadi Ijumaa, na Ramadhani hadi Ramadhani, ni kafara ya dhambi zilizofanywa kati yake, ikiwa mtu ameepuka madhambi makubwa
Abu Hurairah - Sahih Muslim 233